Mikono juu na surrender Acha dunia ijue muuni amependa Wangapi waikuja wakaenda Mbona ni wewee Mwenzako nahesabu calendar Siku masaa yanakwenda Hebu fanya urudi nakupenda Basi nielewee eeeh Kitaniumbua kifo nikiyaficha maradhi Sikujua before before kumpata unaempenda ndio kazi Nimejaribu haka kawimbo kukuimbia Pengine labda utakasikia Ishara tosha kuwa najutia Fanya unisamehe hi mambo ya ujana Moyo unakufa ganzi nikifikiria Mazito tuliyo yapitita Yaliyou kufanya utaki ata nisikia
Bado nahisi ni kama jana
Hakuna aliye kamilika Hata unae mdhani malaika Bado anaweza kuwa shetani Na ukasema bora mimi Ndoto yangu bado haijafutika Naamini siku itafika Tumwite sheikh na ubani Au tufunge ndoa kanisani Ohh beibei I miss you I miss you I miss you I miss you
Kweli mapenwi hayana ujanja Hayajali jina mkwanja Yani nimepita kila kiwanja Ila nimenasa kwa mtoto wa massanja Wewe ni mtu wa mungu Tena mlokole yanini app ya mange Wapiga majungu wakina lokole Wanao pakaza me nakula bange Naaguka makosa tena nipo radhi kutoa posa Basi fanya urudi malikia Tuje kuanza tulipo ishia Waambie mashoga zako si kwa ubaya Ila me sipendagi kuongea Unamsemaje mwenzako bangi mbaya Kama hujawahi hata mgongea
Hakuna aliye kamilika
Hata unae mdhani malaika Bado anaweza kuwa shetani Na ukasema bora mimi Ndoto yangu bado haijafutika Naamini siku itafika Tumwite sheikh na ubani Au tufunge ndoa kanisani Ohh beibei I miss you I miss you I miss you I miss you
Of course Bboy beat Konde boy call me number one Bakhresa It´s what it is baby
I want to come back It´s what it is baby I want to come back Come back my baby