First time when I saw you Nilitamani nikueleze, how I feel That was ??? alafu macho nikukonyeze Maybe you can feel
I swear, moyo ungekuwa kitabu Ningefunua uone, yaliyomo ndani Yaani mwenzako napata taabu Sina furaha hata tone, nionege imani Oooh my love, ooh oh oh
Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza Inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza
Mpaka sijui nayosema nimesahau Vita ya penzi imekuwa kama Mau Mau Nikiona sura nakonda Nikiona chura, nashindwa kubonga Nakua mburura masikini omba omba Kutwa nazurura kutuliza kidonda Maumivu kama yangu anayo Konde Boy Namtuliza mwanangu ah usikonde boy Macho yanaona yes, akili inasema non non non atakukazia
Ooh oh oh Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza