SI sura tu bali shavu na tabia Alivyobarikiwa ah sura na tabia amemwona ni roho juu akiniangalia moyo unatulia, ni uzuri wakaona.
I say hi, hi kwanza nafurahi Katoja kama maabo nipe kikombe cha chai najidai uku baby haifai, bila shy hi kwa madai mbona wamasaa
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde Inde mama, inde
i say lalalala kiuno chako propeller yako umeivisha better, uzuri mpaka unakera in the morning unanipa bila shaka mwingine hapana taka kiunoni baby wacha mashaka mie hoi mwenyewe sioni una utamu wa mata
natafuna ninavyotaka nimo jangwani nipatiwe wa arusha.
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo