Yale mahaba ninyonge ntayamiss saana si unajua Umenifanya nikonde shilingi sina ningenunua Umenipora hata tonge angali shibe sina utaniua Ningekunywaga na pombe, ila kichwa sina ningezimia
Nimeamini penzi, penzi zigo la miba Lishanichoma na kunipofua moyo (moyo moyo) Bila ye siwezi mwenzenu napata shida Amani sina ninaugulia kidonda changu
Mmh! Na tena sipati usingizi (ai moyo, ai moyoo) Ati kula mi siwezi (ai moyo, ai moyoo) Tena nusu niwe chizi (ai moyo, ai moyoo) Yote kisa mapenzi (ai moyo, ai moyoo)