Konde boy call me number one Bakhresa, ai (ei) Anjella
Mmh
Na ikitokea umemuona mvute chini umwambie Mwenzake me sijiwezi Yeye ndio wakunifanya nikapona, mwana wa mwenzie Haya maradhi ya mapenzi Anaposhika akipaacha sipaoni Sometimes I feel kaaniita peponi Akija pangoni ulimi sikioni She turn me on
Yalla, yalla Yakh habibi me napenda raha Huyu mtoto mashallah Mashallah Yalla, yalla Yakh habibi me napenda raha Huyu mtoto mashallah
Kwenye kivuli cha picha yangu Nakuona wewe my boo yeah You do me like I do, mmh Tuwape maswali yasiyo na jibu Tuwapunguze gubu, yeah Tuzichore tattoo, mmh yeah Yani nimeoza kwako chaka chaka Kipa magoli kwako nanyaka nyaka Chochea kuni moto tayari nishawaka Mmh, yo Ukizama unapagusa unapotaka
Swala la ufundi sina shaka Ndani ya moyo nishakupa madaraka Ih
Only you baby Mwengine sidhani Nimekuweka ndotoni Nimekuvika kidani cha mapenzi
Yalla, yalla Yakh habibi me napenda raha Huyu mtoto mashallah Mashallah Yalla, yalla Yakh habibi me napenda raha Huyu mtoto mashallah Mashallah Mmh