(Diamond) Agha, moyo wangu wa muarobaini Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini, huo uzungu sijajaliwa Ukipenda chunga majini, kwenye uvungu pale niwa Kumbatie baridini, kwenye tundu kama njiwa Moyo wangu ni wa makuti, usinijie na kiberiti (asa wee) Penzi likageuka chuki, nyumba ikawa Kibiti (asa wee) Nipatie vya kitandani, nipe mpaka kwenye kiti (asa wee) Ili asiniingie shetani, nawe nikaja kuku-cheat
Oh basi jilegeze, nikubebe mgongoni (iyelewi) Kitandani nikoleze, kwa miuno ya Kingoni (iyelewi) Kisha nibembeleze, nirudishe utotoni (iyelewi) Weka mate niteleze, kama nyoka pangoni (iyelewi)