Yeah, this one go to all Beautiful mothers in the world I love you mama I want talk to yah
Hello mama, leo nimepata kisimu cha kuazima Nikaona hata angalau, niijue hali yako Vipi upo salama? Yana dhumuni nijue kama uko mzima Hadi nimesahau shikamoo, heshima yako Ingawa bado mambo magumu Ila sijachoka napambana Ulinisihi nikakudhulumu Ni makosa kwa Rabana
Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi na pocho Uniombe kila kukicha mimi mwanao Ipo siku nitatoboa Nilisikiaga mjomba Isa Yule fundi mbao Tayari ameshaoa Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nina doa la kuwa mbali nawe Eeh mama I love you, I say I love you mama, Mama I love you Nahangaika ili kesho nikutunze Mama I love you, I love you, I love you Mama I love you (Eeh, I love you mama)
Miezi tisa tumboni Kwa mateke mi mtundu ulinibeba Ukajitesha mgongoni Upweke na uchungu ule wa leba Nikisema nikusifie Sifa zako siwezi maliza Ninachotamani usikie Kwa ajili yako nabangaiza Mama sio mchana sio usiku Kukicha nakwenda race Ila naamini ipo siku
Mola atanifanyia wepesi Chunga!
Wasikudanganye na picha za mitandao Ukahisi na pocho Uniombe kila kukicha mimi mwanao Ipo siku nitatoboa Nilisikiaga mjomba Isa Yule fundi mbao Tayari ameshaoa Ila yote tisa kumi mwanao Moyoni nina doa la kuwa mbali nawe Eeh mama I love you, I say I love you mama, Mama I love you Nahangaika ili kesho nikutunze Mama I love you, I love you, I love you Mama I love you (Eeh, I love you mama)