Wanajadiliana Wamchafue vipi Eti inakuaje mwanamama Anashika kijiti Awajibu mama Ni nguzo iliyosimama fit Ninachojua masela Huko mtaaani kuna dhiki Mama anafungua hela Jitume upate ridhiki Mafumbwa ndika kwadela Ccm hatukupi kiki Upepo haufati bendera Hapapatiki Onanana
Mama kazi anaiweza Na ndio maana
Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kasimama kainuka na kucheza
Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kainuka kasimama na kucheza
Mama teacher Teacher konde Teacher Teacher konde
Mama teacher Teacher konde Teacher
Teacher konde
Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kasimama kainuka na kucheza
Mama kazi anaiweza Na ndio maana Me naimba na kucheza Ona inavyo mpendeza Eti kainuka kasimama na kucheza
Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Mama anafungua hela Jitume upate ridhiki