Ana kasura ka upole Miaka nenda rudi hazeeki Tena ni mtu wa gym gym Shepu ndo linanipa wazim zim
Na cartoon mchore Ila ndo hilo tena hapendeki Ama kweli mapenzi hayana mwalimu Wengine hata kuniona ni adimu
Hivi tuseme ana ngekewa Ama nyota yake kali ananizidi Ama mjini nimechelewa Ona wengine wanamponda wanamuita bibi
Nilianza kumuona mapema Enzi za mabanda ya sinema Alikuwaga ni rafiki na Wema She is so cute
Acha wanione mshamba tu Mtuta hawezi kunipigia honi Umri nao ni namba two
Kinachoniuma anajifanya  haoni
Kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie
Basi kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie
Anayelenga kwa rula siku zote ndo apatae Mwambieni mwanangu Paula mi nampenda mamaye Tena ni fundi wa kuchanua ah Utasema samaki ngÂŽonda Hapo ndo nikagundua ah Hii ni kiriwani za Makonda
Kwa daladala, ninashindwa kulala lala lala Anambadalda dala dala, anaitoka ka
Hakika ye ndo kiboko yangu Jua likiwaka ikinyesha Utembo na ujeshi wangu Geti ni kwake nilikesha
Mtihani wa mapenza hakuna aliyefuzu Sawa unywe pombe na useme nguzu Na mtu kisha penda unakuwa zuzu Ati nawazaje kuwa mama zuzu
Kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie
Basi kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Avimbe kichwa ajisifie