Tisin na nne march fifteen Begin of my world Nilipozaliwa nikadondoka chini Hakukua na kitanda kwa word Basi mgongo wa mama nikaufanya godoro
Na kilichonikusa mihogo na viporo Nilipolekwa shule ila bado nikawa mtoro Kingereza nlichokalili labda tomorrow ama today Zikafika time ya kubalehe Nikayajua mapenzi nikagundua bila pesa siyawezi Ni ujinga Nikadondokea umachinga Hapakuchi panakucha siku zikasogea Pruuh mpka darsalaama nikaanza jitegemea Nyumbani baba na mama wakiniombea Mwanetu nenda salama na ukipata lejea Mmh na ukipata Hapo akili ndo ikaanza kukomaa Na nikajuta kwann sikusomaa Jinsi jua la utosi linavyochoma Na usiku baridi ilanipa homa nusu inuchukue uhai mmmh Mi nimepitia mengi ndo mana sio mshamba wa helaa
Kwa ajili ya vitu vidogo sigomban na maselaa We kubali kudharauliwa Kukataliwa Kupata majaliwa Kula kinacholiwa Mwenyew
Raha jipe mwenyewe Basi kamata chupa fungua na mimina Mwenyewe raha jipe mwenyew Lewa tukuone unavyocheza kichina Mwenyewe raha jipe mwenyewe Anaekupenda zaidi ni wewe Mwenyew raha jipe mwenyewe Ata anaekujua zaidi ni wewe Mwenyewe raha jipe mwenyewe
Masikini na wanawe tajiri na mali zake
Hasie na shida nawe mwache aende zake Husibweteke na ulicho nacho Pia husiteseke kwa walicho nacho Ridhiki mafungu saba pengine leo zam ya sita Kaza moyo epusha roho yakusita We umezaliwa peke yako Utakufa peke yako Na utazikwa peke yako So usiwaeleze shida zako Ukizani ndugu zako kumbe wabaya wako We komaaa
Mwenyewe raha jipe mwenyew Basi kamata chupa fungua na mimina Mwenyewe raha jipe mwenyewe Lewa tukuone unavyocheza kichina Mwenyewe raha jipe mwenyewe Anaekupenda zaidi ni wewe
Mwenyew raha jipe mwenyewe Ata anaekujua zaidi ni wewe Mwenyewe raha jipe mwenyewe