Wazuri ni wengi ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana ah Ukichelewa dukani mie kamoyo kananidundaga Nawaza asije mangi jirani akakuonga kilo ya unga aah Oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi nikipi kinafanya Unipende
Niambie Tell me baby love Ooh Basi niambie
Vipi unanipenda ingali sina doo Niambie Ooh Basi niambie(Ooh Basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza Roho Hhhhm (aiy)
Sikuhizi magari ya wakongo mapesa mara nyumba mbezi Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi Sijakuwekea Ndumba umenipendea rhumba Vipi nikija kudunda oooh oooh Usije mgezea Punda ukaniachia Ngunga Wanakumendea Chunga oooh oooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano ya kipande Bora nikuweke wazi yanini nikufiche Gambe
Tumeumbiwa shida maradhi ndo chanzo mpaka wengi wadande Niweke wazi ni kipi kinafanya Unipende
Niambie(Tell me) Tell me baby love(Tell me) Ooh Basi niambie Vipi unanipenda ingali sina doo(Tell me) Niambie Ooh Basi niambie(Tell me Ooh Basi niambie) Tell me baby love Usije nitenda ukaniumiza Roho
Umenipendea!!!! kipi mama(basi sema ) Umenipendea ingali sina Doo