Ama kweli harusi imefana, Tena ya kihistoria, Na hii ndio message Sema na mumeo usifate ya jirani
Pande zote baba na mama, Naona wanashangilia Ila sitaki kua mnafki, Jumba bovu kuniangukia Nina langu la moyoni, ningependa kuwaambia Bi harusi, mashoga wakupupia, Hao niwakuwaangalia Wako wale wahali gani, wanakuja kuchungulia Uwaombe samahani, uwakomeshe wambea Eti, wifi umepika nini, na mimi utanigaia Waambie, wamepika p dagaa, zenye pilipili nyingi Zakutisha we na mumeo, wao watakimbia Aiiii shemeji ndugu yo mumeo, usisikilize ya fulani Na hii ndio message Sema na mumeo usifate ya jirani
Kwa Furaha niliyo nayo, Niacheni nimwage radhi, MI nataka nimwage radhi. Ai yoi yooo Niacheni nimwage radhi MI nataka nimwage radhi Alilililiiii