Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho Yanini kurumbana kukicha bila suluhisho Wenda kisicho ridhiki hakiliki sa ya nini tutoane roho
Nimepungukiwa kipi mbna naishi sina ata jiba la roho Na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na ww Niliuvumilia na sijaona tamaa Sio kama siwezi kupata alie zaidi ya wewe Ila hii dunia na najichunga sanaa Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho
Tena naandika huu wimbo usijpe moyo labda nakufikiria Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunifatilia Naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakuwaza sana Nataka iwe fimbo kwenye sura ya choyo ukome kunilili.(eeh) Nishachoka nishachoka nishachoka wacha ukweli nikwambie
Yani kukicha vijembe (nishachoka) dharau maneno (Nishachoka) ooh masimango nishachoka wacha ukweli nikwambie Nimechoshwa nawe Kila donda lina historia badala ya moto majivu Mangapi niliyavumilia adi nkakonda kwa wivu Kipato cha jasho langu ulikidharau na kukinyanyasa kisa anasa Angalau mm nshakuzoea Dharau mama yangu hajakukosea Huwaga navuta taswira ule utumwa wa penzi lako Mpk najiona taira Kuyahifadhi mabaya yako Ukimjinga pedi unamatilapa nikapenda Upepo kwenye begi Au maji ndani ya tenga