Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee
Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba
Wendo ulishawishi ninywe nikalewa nikazima Sasa ona adi watoto wananikosea heshimaa Kwanini usiseme ile pesa nikatone kwa yatima eeeh Moyo konde enena seba Na walipo sema mke wa mtu sumo Moyo ukasema ninunue maziwa Na ukanishawishi eti japo ni mchungu Mwisho wake nikafumaniwaa We moyo uambiliki, utabiriki Omoyo muoga wa dhiki nan do maana una rafiki
Naukisha niweka matatani auonekani unamsingizia shetani Sasa ukinigombanisha na ndugu jirani Atanizika nani moyo nione imani
Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba
Omoyo wee mpenda vizuri vizuri We ndo unanifanya nionekane kiburi, kiburi Na ukitaka lako utavunja ata kufuli
Na kisema mia uitaki sifuri sifuri Aaha ivi kwanini upendeki moyo Auzeeki moyo Au seomeki moyo Ata umpe dunia au tosheki moyo Unacho taka nanunua naukipata unataka tofauti Tena mbovu wa kuchagua una viatu unatamani suti Omoyo kuonge unajua kuongea cha ajabu autoi sauti Ivi uko kwa kichwa ama kwa kifua sema moyo nikutoe baruti Naukisha niweka matatani auonekani unamsingizia shetani Sasa ukinigombanisha na ndugu jirani Atanizika nani moyo nione imani
Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba
Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba Omoyo Omoyo yee Omoyo kone nenenda seba