Willy Willy (Willy Poze) Willy, Pozee Pesa so kila kitu alinifunza mama Heshima ndo kila kitu Walishasema wahenga
Ukipata magari utapotea baby wee Ukifuata mapeni utapotea Mbona wajiita malaika Na tabia zako, haziambatani Mbonaaa wajiita mama yao, Na watoto wako umewatupa Mboona wajiita chocolate Na ??? flavour kumbe we shubiri We pili pili we, unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo Mali so kila kitu, alinifunza mama Mungu ndo kila kitu nilishika maneno ya mama eeh Mke wangu twapigana Kila siku ya wiki Unataka mapeni tulia mungu ataleta Unaniweka machungu ndani ya moyo wangu eeh
Tulia mungu ataleta, tulia Mbona wajiita mama yao, Na watoto wako umewatupa Mbona wajiita chokoleti na ??? flavour Kumbe we shubiri We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo (Iii eeeeh ehhh) We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo We pili pili we unaniumiza moyo (Eeiiih) Wololo wololo wololo