Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Sambamba na dira ya serikali ya awamu ya tano Yenye nia ya kusambaza maji safi salama Maji taka tunayatupa mbali elfu mbili ishirini na tano Kote Tanzania tunywe yaliyo safi salama
Mmmh tuwakabidhi hilo jukumu Pipes Industry Maana wengine kelele usidhubutu Ndo mabingwa wa mabomba magumu Pipes Industries Utatumia miaka milele hayashiki kutu
Tena hayatengenezwi mbali Ni hapa hapa Tanzania Wawekezaji hodari Wazawa wa Tanzania
Mbomba imara ngangari Kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio ghali Ni nafuu kwa Mtanzania yeyote
Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba
Mabomba haya hutumika Kwenye miradi ya ujenzi Kilimo umwagiliaji Hadi mogodi ya madini
Kupitisha maji taka kadhalika Kupasuka hayawezi Hata kwa wafugaji Ndio chaguo lao niamini eeeh
Mabomba yanayokidhi ubora Viwango vya taifa na kimataifa ISO na TBAC
Tena hayatengenezwi mbali Ni hapa hapa Tanzania Wawekezaji hodari Wazawa wa Tanzania
Mbomba imara ngangari Kivyovyote utavyotumia Hata bei yake sio ghali Ni nafuu kwa Mtanzania yeyote
Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba Pipes Industry mkombozi wa mabomba Pipes Industry mambo yote sasa bomba