Konde boy call me number one So much money in the bank money
All dem girls call me honey Only your love can turn me to a mad man
Leo nakuto...totoo nakutoa kwenu uje kwangu Nina hamu yakuto...totoo kutoa mahali uwe wangu Basi sema unakuja saa ngapi ama kwenu umeshakatazwa Said kichwa nitamueka wapi na mkongo nimeshampakaza Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani? (Mweupee) Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?
Leo nataka kukuto...too kutoa out Mimi na hamu ya kuto...too kutoka na wewe Jiandae leo na kuto...too kutoa out Mimi na hamu ya kuto...too kutoka na wewe (Yebooo)
(Yeah) My beautiful baby from juba I wanna take you to dubai Yes am ready to do that do that Hasa twende popolipo lipopoo popolipo lipopoo Popolipo lipopoo popolipo lipopoo Iyo mitungi ndo usiseme utakunywa utasaza Kama pesa ndo zipo nyingi kuzigawa nimeshaanza
Wahuni sandakalawe amina aah mwenye kupata apateee
Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani? (Mweupee) Ah sandakalawe amina na mwenye kupata apateee Je mwenye kukosa akoseee eeh kuku gani?