Konde Boy, call me number one Ba-re-ssah (S2Kizzy, baby) Oh, oh, oh Ah, uu-uu-uuh...
Aah-ah, ah, ah...
Ukiwa mvivu Ni rahisi sana kuwa na wivu Tulio jituma ´tuka achieve Usitushangae tukila mbivu Uliwaza mapenzi, tukawaza pesa Mh´ Ona yanavyo kutesa Sie kwetu ni sherehe Oya leo ´sherehe
We don´t really mind hata tukikesha Liwake hata ikinyesha Leo siku ya sherehe Oya leo ´sherehe
Wanangu huku
(Tuna sherehe) Huku (Tuna sherehe) Huku (Huku ni sherehe, eh, eh) Leo huku (Tuna sherehe) Huku (Tuna sherehe) Huku (Huku ni sherehe, eh, eh) Ola-la-la-la La-la La-la-la-la-la La-la La-la La-la-la-la Mmm´
Kuhonga kubaya ukiwa huna Ila tulio jipata kwetu ´sunnah We jigambe una mkuna, ah Huku ´walio na meno wanatafuna (Bomboclaa-) Mwenye kisu kikali kala nyama leo Kidari kaachwa na jimama leo Kwetu kuna sherehe Oya leo sherehe, oh Mpaka kesho, tumeanza leo Wasio toka, wametoka leo Wameifata sherehe Oya, kwetu kuna sherehe
Uliwaza mapenzi, tukawaza pesa Mh´ Ona yanavyo kutesa Sie kwetu ni sherehe
Oya leo ni sherehe
We don´t really mind hata tukikesha Liwake hata ikinyesha Leo siku ya sherehe Oya leo ´sherehe
Wanangu huku (Tuna sherehe) Huku (Tuna sherehe) Huku (Huku ni sherehe, eh, eh) Leo huku (Tuna sherehe) Huku (Tuna sherehe) Huku