Yao yao hahaha...Jeshi Yeah! Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na views wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti
Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki
Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Yeye hapendagi makiki
(Oh nah nah nah)
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza

I´m your Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde I´m your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde

Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza
Hadi majirani wameanza kunigeza
Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki
Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Ye hapendagi makiki
Huu muziki nauweza Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza
Huu muziki nauweza
Nauweza kuuimba na kucheza Ona unavyonipendeza Hadi majirani wameanza kunigeza
I´m your Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde I´m your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde
Mwijaku mwetele kalipa bill ile Mwaka wanakuta onja na kuta onje Mavhanta na mwima Konde Vanemba niwar Hadi kutandahimba Naika kukweteka kalipa bill ile
Teacher, ah Teacher Konde Teacher, Teacher Konde
I´m your Teacher, Teacher Konde Teacher, ah Teacher Konde