Kwanza nimekua Nimemature Mapenzi nayajua Nje ndani Ya walimwengu si unayajua
Badi tuombee dua Mbona litakuwa Apangalo maanani
And I just wanna make you my baby And marry you today Cuz I love you everyday Forever and ever uuh Ndugu jamaa na marafiki wapo And I´m ready kula kiapo Siwezi tabasamu usipo nilipo My boo
Tena nishapenda I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda Eti mimi huyu huyu
Wakupenda tena Nishapenda I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda
Yeah in a life kuna kupanda na kushuka Na kuteleza si kuanguka Ma X mtabaki kunikumbuka Maana raundi hii sijakurupuka Nina uhakika Pili kwake nimefika Tatu ye ndo anayepika Mi napakua
Yeah wapo wanaodhani umeniroga Ukinipa chakula unanipa na mboga Mahaba yanamiminika tunaoga
My baby eeh
And I just wanna make you my baby And marry you today Cuz I love you everyday Forever and ever uuh Ndugu jamaa na marafiki wapo And I´m ready kula kiapo Siwezi tabasamu usipo nilipo My boo
Tena nishapenda I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda Eti mimi huyu huyu Wakupenda tena Nishapenda
I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda
Tena nishapenda I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda Eti mimi huyu huyu Wakupenda tena Nishapenda I´m in love Nimependa tena Ndo nishapenda