Taifa limeishapata suluhu Kinachofata ni mipango na Majaliwa ya mwenyezi Mungu
Analilipanga Mungu huwezi kulipangua
Alitupa Magufuli kisha akamchukua Amekuachia jahazi na sisi ndio abiria Jukumu letu ni kuchapa kazi Maana yupo wa kusimamia
Tutumbulie majambazi Wala rushwa na maharamia Wasiotaka kufanya kazi Wapenda pesa za kuvizia
Mama tuvushe Taifa zima lina imani na wewe (Tuvushe) Hayati JPM alikuteuwa wewe (Mama Samia tuvushe) Taifa zima tunakutazama wewee Mamaa (tuvushe)
Eeh Refarii ndio kabadilika Lakini uwanja ni ulele
Kazi juu ya kazi
Tena mpenda haki mtu wa Mungu Fitna hataki wala majungu Eee na ndoto za wanawake shupavu zimetipia Na huyu ndio rais wa kwanza mwanamke hapa Tanzania Mama Samia, anakwenda kumalizia Miradi iyobakia Pole yenu mnaoofia
Aaah mamaa waonyeshe unavyotekeleza Usisi, bigi na serenda madaraja yote Aa Mamaa Waonyeshe Unavyotekeleza Na fly-over zilizobakiaa Mamaa Waonyeshe Unavyotekeleza Standard gauge, Air Tanzania Mamaa waonyeshe unavyotekeleza
Mabarabara, elimu bure pia Mamaa waonyeshe unavyotekeleza Mradi wa umeme bwawa la nyerere Mamaa waonyeshe unavyotekeleza Ikulu chamwino Dodoma izidi songa mbele Mamaa waonyeshe unavyotekelez