Natamani kuimba pengine ukasikia Maneno yangu ya mwisho Ila sauti ndo inagoma yan kama inakwaruza Ukinitazama macho nimevimba Nimekesha nalia
Na sijui lini mwisho mwili wa joto na homa Yani mpka naunguza Mapenzi hayana dhiaki Mwenzko nishawaza nifaraki Ama niende kotini nikashitaki Kwamba unadhurumu furaha yangu Mdomoni unamaji we samaki Asa mbona ata kusema hutaki Ama ndo nataka sitaki Ina maana huzioni jitihada zangu Pengine donda nilokupa limefuta upendo Unajaribi kujilazimisha Mengine unafanya kuniridhisha Mwilii umekonda umebaki mifupa Kulilia upendo basi moyo rudisha Kama umenisamehe na yameisha Kinyonge najiuliza bila majibu Wapi ninapoharibu
Kina nachojaribu hakikupendezi Utanikumbuka mpenzi uta Utanikumbuka mpenzi utaa Utanikumbuka mpenzi utaa Mana wapo watakao kukosea Na wasikili kosa (utanikumbuka mpenzi uta) Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukukosa eeh
Inaboa mapenzi yakishaisha Licha yakujitoa mwenzangu kumridhisha Eti mara yupo busy yupo busy Alipo hataki nimuulize Anajua lazima iniumize Imeandikwa samehe na husilipize Wenda ata msamehe ulonipa ni kazi bure Kama umeshindwa nifanya nijione kama yule
Wako wa zamani I swear to ma body husimuamin rafiki anaekulipia kodi Pengine anafurah we kumpigia hodi Hawezi support kukuona airport kila siku Najiuliza bila majibu wapi napoaribu
Kila nacho jaribu hakikupendezi Utanikumbuka mpenzi uta Utanikumbuka mpenzi utaa Utanikumbuka mpenzi utaa Mana wapo watakao kukosea Na wasikili kosa (utanikumbuka mpenzi uta) Umri wetu tunawaza kukuchezea hakuna wakukuposa eeh