Wambieni wapinzani wanajisumbua Ccm chama chetu tumekichagua Wambieni wapinzani wanajisumbua
Samia rais wetu tumekichagua
Uongozi sio jambo rahisi Inataka watu majasiri Wameng´ang´ania ubishi Wanapinga vilivyo dhahiri Anayoyafanya Samia Eti hawayaoni Taifa linavyojengwa eti hawalioni Ajira kwa vijana Nazo hawazioni Uhuru na ujamaa nao hawauoni
Mama usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Usiwajibu Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu Mama kanyaga twende Mbele mbele kwa mbele We ccm twende Mbele mbele kwa mbele Kanyaga twende Mbele, mbele kwa mbele Tumechelewa sana twende Mbele, mbele kwa mbele
Jeshi hapaa
Wambieni wapinzani wanajisumbua Ccm chama chetu tumekichagua Wambieni wapinzani wanajisumbua Samia rais wetu tumekichagua
Mpeni kura Samia mpeni kura
Mpeni kura jamani mpeni kura Ajisikie Yupo nyumbani Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura mama apewe kura Ajisikie yuko nyumbani
Anayoyafanya Samia Eti hawayaoni Eti anavyotuunganisha Pia hawamuoni Alivyo wekeza kwenya elimu Pia hawamuoni Mambo yote ya muhimu Tuseme hamuyaoni
Mama usiwajibu Hatuwajibu
Hatuwajibu lengo lao kuharibu Usiwajibu Hatuwajibu Hatuwajibu lengo lao kuharibu Mama kanyaga twende Mbele mbele kwa mbele We ccm twende Mbele mbele kwa mbele Kanyaga twende Mbele, mbele kwa mbele Tumechelewa sana twende Mbele, mbele kwa mbele
Jeshi hapaa
Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura jamani mpeni kura Ajisikie
Yupo nyumbani Mpeni kura Samia mpeni kura Mpeni kura mama apewe kura Ajisikie yuko nyumbani