Sikia Konde kwepa bana mjini shule Ukipata kidogo leta na nao tule Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure Maana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa kiume analialia Bila msaada wowote
Oooh kuna watu na viatu Wanatamani milele wawe wao Ukijituma watasema Unashinda nao
Oooh ni kama watu Kumbe ndani wana roho za chatu Hawatosheki na vikubwa vyao Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri Kwenye kufanya maamuzi Zidi nikomaza akili Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri Kama jana na juzi Kupata kukosa ni siri Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo Kila utachofanya watasema, wapo Wapo wasotaka ubarikiwe Dear Lord
"Special message to the Youth" ItÂŽs your time now to follow your dreams No matter what people say, stay humble Stay positive, follow your dream Believe in God, ease your mind Ease your mind for Lord