Nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? Hivi nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? Nikimwona analewa, namuelewa Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa Viuno alivyopewa, Anajiona kachelewa, age go Ohhh... uuhhh... ohhh!
Nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? Hivi nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? NEVER!
(Mh) Ibiza, Miami, mbali Hajapelekwa hata Zanzibari Hapo Kizimkazi aka enjoy Low budget Dubai hatoboi
Anasikitisha X, Kama embe la mti wa porini Anajipitisha X, Amekosa wa kumuweka mjini Nikimwona analewa, namuelewa Anajiona kachelewa, age go Na bado hajapewa Viuno alivyopewa, Anajiona kachelewa, age go
Nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? Hivi nani kasema X wangu ana enjoy? Nani kasema anapata raha? NEVER!
Aaahhh... Bomboclaat! ItÂŽs Konde Boy, call me Number One! Bakhresa Ahhhill Konde Music Worldwide! Eh! Sikumpenda tu, nilimtukuza Nikala bata bila kumchunguza (babe) Mambo madogo akayakuza Eti kisa upendo akaniburuza