đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đ€đ
Recherche : GO
Liste de Favoris
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 Ajouter aux Favoris Titre : Yanga
Oh oo oooo Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi Mtoto wa jangwani timu ya wananchi Yaani kati kati ya jiji la Dar Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa Makombe ya kabatini Hawawezi kufika Mpira unapigwa chini magoli uhakika Yaani dakika tisini tumesha watundika Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Engineer naomba nikutume Unifikishie salamu Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi Ah waambie majirani Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Kabisa! Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Tupeleke GSM Watoto wa GSM Wanangu wa Jangwani