[HARMONIZE] Ipo siku na muda eeh Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh Yahalali nile kwa jasho Ipo siku na muda eeeh Silali bado na asooo Naamini ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata ) Bado tunajikongoja (yatapita yata ) Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
[Professor Jay] Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza Mara ya tatu marafiki wakanizebeza Mara ya nne hata kabla Yakuanza nikateleza Mara ya tano nikafeli wakanibeza
Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita Kwamba maisha ni vita Jay unaweza Mara ya saba mambo yalijiongeza kila nnapoanguka nainuka najisogeza Nnapopata kidogo nakiwekeza Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza Mara ya nane Im the man all the way up King Ndani ya jungle always keep my head up Usikate tama ( ongeza juudi tu pambana) Sitting on the top of the world kama unaweza
[HARMONIZE] Ipo siku na muda eeh Silali bado na asooo Kama ipo itakuyja eeeh Yahalali nile kwa jasho Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo Naamini ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata ) Bado tunajikongoja (yatapita yata ) Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
[Professor Jay] Anhaa … Najua unapata tabu sana wanakutukana ifikilie kesho yako achana na jana Najua ata ndugu wa damu wanakukukana Haya maisha ni vita yapasa kuyapigana Ujapokea mshahala jikaze bhana usilie Onzena sana kazi na sara mama ntilie Maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda
Usisubili ugeuzwe tu ndo ukabede poda Nikopamoja nanyi wanangu wa bodaboda Dua zangu ziko nanyi mama zangu wa mbogamboga Mnapitia mengi ila mambohayaendi I can, I must , I will kama mengi Fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha Unaweza kua manji modewji ama bahkresa Usikate tamaa ongeza juudi tu pambana Sitting on the top of the world kama unaweza
[HARMONIZE] Ipo siku na muda eeeh ..(sikuu) Silali bado na asooo (ebwana salalii) Kama ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho..( kwa jashooo…) Ipo siku na mda eeeh Silali bado na asooo (asooo mbona silali) Kama ipo itakuja eeeh .. (eeee)
Nihalali nile kwa jusho
Kulala visa vihoja ( yatapita) eeeh ( yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee( yata ) Bado tunajikongoja (yatapita yata ) Usijehisi umelogwa (yatapita )wowouwoooo (yata)
You know, no one is born to be successful No one is born to be a star Hakuna kinachoshindikana Believe in yourself, Believe in yourself , Believe in yourself