💃🎤 Paroles de chanson Française et Internationnales 🎤💃

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Harmonize
Titre : Yeye
Omeni shangaza
Ayarunia mengi
Leoni me gundu wa utofauti katia raha nafura
I didn´t know that
Ye dunia ina mambo

Iti kumbe kura utofauti katia raha nafura yeeh

Shetani alinizonga mungu simuoni
Basi nikajiona ka niko peponi
Kila siku unaenjoy pombe
Zimenichosha nipupoye eeh
Dunia ina siri si kila aliyeokoka
Mbingini atafika eeh

Lord of mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Hata binadamu wakinikimbia baba unabaki wewe
I don´t really care
Wakinichukia ukinipenda wewe
Ata niwe na madeni nisemeni atawajibi yeye
Tata kifa nizikwe kwa jina lake yeye

Kesi ya uhujumu uchumi

Unayomkabili masanii
Wa uigizaji joyce mboga
Mwenye umri wamiaka 32

Why you so good to me that
Minajya sitazalaurika sitokamatika
Kwa umenishika
Sometimes a smoke kana tetemika
Bado unanishika hujabadilika

Of course umeniumba kwa mfano wako
Kila nilicho na cho ni mikono yako
I never fall down without bila matakwa yako
Wachawi fitina wote waja

Shetani alinizonga mungu simuoni
Basi nikajiona ka niko peponi
Kila siku unaenjoy pombe

Zimenichosha nipupoye eeh
Dunia ina siri si kila aliyeokoka
Mbingini atafika eeh

Lord of mercy
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Hata binadamu wakinikimbia baba unabaki wewe
I don´t really care
Wakinichukia ukinipenda wewe
Ata niwe na madeni nisemeni atawajibi yeye
Tata kifa nizikwe kwa jina lake yeye