đđ€ Paroles de chanson Française et Internationnales đ€đ
|
|
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9
Titre : Kenya - Ee Mungu Nguvu Yetu
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Na tukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya tunayoipenda
Tuwe tayari tuilinda
Na tujenge taifa letu
Ee ndiyo wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani