Kabla sijakupata Niiupa imani moyo utulie Sa niko hapa Ni kwa nguvu zako tu
Niliteseka sana Baba ukaniona Fedheha ukaondoa Maombi ukayajibu
Umetenda kwa ukuu Bwana(Umetenda) Na ukweli sikutegemea(Sikutegemea) Umetenda kwa ukuu Bwana(Umetenda) Na ukweli sikutegemea(Sikutegemea)
Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu
Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu
Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu
Uliniambia tulia son nina plans nawe Sa hiyo nachomeka kwa sun sikuchoka nawe Walikuwa wananicheka sana, maisha inakosa maana I can remember we ndo ulipewa na Waisraeli maana
Najivunia kuwa nawe Bwana Nilipata ushuhuda nina mwana Umejibu maombi yangu sikubaki vile yeah...
Mungu wa ajabu(Ajabu) Mungu wa milele(Milele)...