Maua maua, vigelegele pambio Penzi limetoka mbali ona linachanua hilo Tulia tulia niache nachunga chungio Mtamu kama asali, lilupwa tokeni mbio
Tembea kwa madaha pasi na aibu usoni (Ringa) Starehe kwa madaha asubuhi na jioni (Ringa ee) Siku iwe furaha niwe wako moyoni Mlaji mla leo mla jana kala nini mama ee
Mwaiona ee, mwaiona ee Mwaliona ee, mwaliona ee Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo) Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Mmmh zawadi nimepewa ninayo mwilini
Umbo lake maridhawa ipo chini kwa chini Naitunza kama kawa sikubali ishuke dhamani Hakuna wa kuichukua baini lako mwanja
Tembea kwa madaha pasi na aibu usoni (Ringa) Starehe kwa madaha asubuhi na jioni (Ringa ee) Siku iwe furaha niwe wako moyoni Mlaji mla leo mla jana kala nini mama ee
Mwaiona ee, mwaiona ee Mwaliona ee, mwaliona ee Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo) Mwaliona joka, joka li pwerere pwerere (Joka hilo)
Aya nyonga nyonga nyonga nyonga Nyonga nyongesha
Kata kata, kata mpenzi kata Kata kata, kata baby kata
Kiuno chako mwenyewe Wala hukuazima we Kata kionyeshe we Kata hebu waone
Acha ninyonge nichangamshe damu Niache nicheze nichangamshe damu Niache ninyonge nichangamshe damu Niache nicheze nichangamshe damu
Niache ninyonge nichangamshe damu Niache nicheze nichangamshe damu