Kama dhambi mbona nyingi sana Nishafanya mitikasi ambayo haina maana Nimeishi lekikeys man noma sana Maji ya moto si unajua mambo ya ujana
Na leo nimeshtuka bwana Hakuna mchongo zaidi ya mchongo wa kumrudia Bwana Kiri makosa kuwa msafi dhambi kuungama Mambo kwa Yesu iko wazi na inajulikana
Wapo wataonicheka sana, watanisengenya Wataponda sana Kwa Yesu mimi najichana Wala sina noma naenjoy sana Rudi kundini ndio habari ya town Shetani hatupati huko down Na Yesu ashatuvisha hizo crown Si ndo ma king yaani coded on town
Na hatutaacha, kumsifu Mungu wetu, mwaminifu Asiyejali mapungufu Baba Mwana na Roho Mtakatifu
Cheza sasa, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu
Eyoo shetani hutuwezi hebu kaa mbali Watoto wa Yesu tumechill si hatuna habari Kama si home tupo zetu chaji tunasali Dhambi zako baki nazo wewe ni hatari
Wewe ni hatari, huna jambo nzuri
Kwa Yesu huku safi sana mambo yote shwari Wajanja wote tupo huku sisi hatuna habari Nikushaweka daily yaani party after party
Eyoo kama niko kwa Yesu hakuna kwingine Karibuni wote tuje tujichane Yesu ni upendo basi tupendane Yesu yuko juu karibu tuinuane
Shetani anashangaa wajanja tumemkacha Hajui ye ni mjinga hawezi kutupata Amekwisha hana jipya anatapatapa Hana ujanja tena mwisho wake ushafika Kashalegea hana nguvu devil katupweta Habari anayo alichotaka sasa kashapata
Na hatutaacha, kumsifu Mungu wetu, mwaminifu
Asiyejali mapungufu Baba Mwana na Roho Mtakatifu
Cheza sasa, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu Kwa Yesu, kwa Yesu