Ata kama mia naokota iokota iyo Ata kama mia naokota ikianguka
Yeah, eyo beautiful, beautiful girl Leo kamazali vile uko na mimi
Leo kamazali mami hata siamini Mtoto fani sio matawi ya chini
Maswaga flani mami mixer vimini Ukitembea hivyo vikuku miguuni Ata sijui sasa niseme nini Maana kwako niko hoi taabani
Mahututi sijiwezi kitandani Unataka nikuite jina gani? Kendi, Reiny au Shanny? Please mami sema na mimi
Kuhusu haters, niachie mimi We unadhani watasema nini? Mi striker na mpira uko kwapani Kilicho baki ni kutia wavuni niamini
Sura ya Msomalia, uno Congo Umenibana kwenye mbavu na kwenye mgongo Ukicheka ukilia, hallo ni mrembo Insta nakucheki wewe unamaliza bando
Oooh wacha wewe, wacha we Unanipa midadi eeh Aaah wacha wewe, wacha we Unafanya kusudi wee
Ata kama mia naokota iokota iyo Unanipa midadi eeh Ata kama mia naokota ikianguka Unafanya kusudi wee
Unanipa midadi eeh
We ukichora namba saba mi nachora nane
Nina kikubwa ninachohisi si tupendane Yaani tuwe sare sare sisi tufanane Usiende kwa mwingine, nisiende kwa mwingine
Tushikane tusiachane mpaka kwenye uzeeni Wakiuliza mbona hivi mami by the daily Wape jibu kwetu ni mapenzi kwetu sisogei Wape jibu kwetu ni mapenzi kwetu sisogei
Kukesha kesha matabia yao ka popo Wanataka tugombane hawa wanoko Furaha yao kutuona kwenye msoto Nawapa pole maana penzi letu la moto
Wakiguza waloungua wanaungua sana Wanatuwinda lengo lao sisi kuachana Tunawachora ka kideo tunawatazama You call me baby mama, i call you baby mama right
Sura ya Msomalia, uno Congo Umenibana kwenye mbavu na kwenye mgongo Ukicheka ukilia, hallo ni mrembo Insta nakucheki wewe unamaliza bando
Oooh wacha wewe, wacha we Unanipa midadi eeh Aaah wacha wewe, wacha we Unafanya kusudi wee
Ata kama mia naokota iokota iyo Unanipa midadi eeh Ata kama mia naokota ikianguka Unafanya kusudi wee
Unanipa midadi eeh
Kwenye giza unawaka Hata kama mia naokota ikianguka We ndo kifaa, aaah...