Yeah tulikutana kwenye Barbeque Mtoto level zake, level chuo kikuu Oooh, what´s you name? Hukutaka nikufahamu Yaani hilo tu
Umekuja na nani? Sema dada duu Mi nataka nijitose yaani sawa huu Nimekupenda bure na sidhani ka ni dhambi Umenichanganya sana na hiyo yako rangi
Body lako, figure lako sawa ma msangi Wengi sana humu ndani kwako hawatambi Yaani presha presha presha Bana nazoro na afisa kazinja
Unapagamisa misa misa Na mapozi yako kama ninja Mama ngoja vipi unataka order? Iwe ndani ukitaka nnje ya border
Yeah geuka nyuma show me your baddest body girl Hmm you got big ting ting girl Bring your friend over, bring bring bring girl
The way you bend over, bend bend bend bend
And I´ma tell you straight Girl you the killer Men I own those killers
Tangu nimefika kuwa na wewe tu Umeniteka kamoyo juu juu Njoo karibu yangu nipate nafuu Na mama we ndo moto kwenye barbeque
Aah aah beiby Ah beiby girl you got me crazy Aah aah beiby Mmmh nakuona wewe tu
Nikikutazama naona kabisa unaitaka Acha uoga bas ebu ondoa mashaka
Hata mimi pia ujue naipenda naitaka Na washikaji humu ndani washatupa baraka
Si tuhalalishe, tuhalalishe mahusiano Tatizo nini? Yaani nini hasa kwa mfano Usiogope kuhusu urefu mapenzi sio kimo Mi natoka Mbeya mtoto njia panda ya imo
Imo, yaani chapa chapa chapa ilale Nipe uone navyoscore kama Amukile Maradona Abedi Pelle yaani enzi zile Acha acha acha, acha mapenzi yatawale
Mama ngoja vipi unataka order? Iwe ndani ukitaka nje ya border Yeah geuka nyuma show me your baddest body girl Hmm you got big ting ting girl Bring your friend over, bring bring bring girl
The way you bend over, bend bend bend bend
And I´ma tell you straight Girl you the killer Men I own those killers
Tangu nimefika kuwa na wewe tu Umeniteka kamoyo juu juu Njoo karibu yangu nipate nafuu Na mama we ndo moto kwenye barbeque
Aah aah beiby Ah beiby girl you got me crazy Aah aah beiby Mmmh nakuona wewe tu
Mataani mama umenisoma Umenisoma lady(Nakuona wewe tu)
We pekee ndo nakuona Nakuona beiby(Nakuona wewe tu)