Kazi ni kuwaua kazi ni kuchafua 20 years kwa game na bado nasumbua Mnangoja tuzame mtangoja sana Ka kujinyonga nimekaza kamba
Hakuna uoga hapa najiaminia Hakuna kutembelea hapa najikimbilia Nabomoa kila kitu kwa njia yangu Stambui compe mi naskiza tu ngoma zangu
Chafua ka mimi ndo usafishe rada Kuwa ka mimi uone vile utawa- Vumilia mtu wangu sahao mambo ya jana Dunia ni yako we tesa kwa sana
Babylon walaghai hadi kura wanachai Tunashinda jua kali wanashinda kwa kirai Ka rada ya maplain niko riko bila gang Jaribu kumaintain Kula mbachu brejin Coz wangu alishikwa tena Bila cashbail atazama tena ikitublein hatutanego tena
Kidevu ya jaw asishikishe tena
Nilimteka once sikumvutia ever Kamboka kakijipa nabatara tena Nikiwa matire siwezi hema naihenya Alitoboka asifikishwe mbwenya
Mtu wangu nachoma ka jua ya saa sita Pen kwa mkono ngoma napika Pakua mtu wangu kula shiba Anua mtu wangu kula vimba Kuwa home naogopa Corona Toa noma songa kwa kona Kwa quarantine hakuna kutoka Msoto kwa sana hakuna kuomoka
We ni nani watu wamekusahau Usitoke hivo kwa game funga bao angalau
Mtu wangu maliza hii kitu vile inafaa Ama zikiwa chungu utalala njaa