Panda shuka, panda shuka, panda shuka Maisha ni panda shuka Panda shuka, panda shuka, panda shuka Maisha ni panda shuka Panda shuka, panda shuka, panda shuka
Maisha ni panda shuka
Maisha nikupanda na kushuka Stress imezi boy wangu anataka kujiua Namuuliza shida iko wapi Ananiambia shida ni mingi sijui aanzie wapi Ananiambia works ilikatika na keja inafungwa Anataka kupeleka watoi wake wawili wakae na guka Wife nae amechoka antaka kujitoa Kuna jamaa mzee amesema atampatia maisha poa Maboy wake wote wa karibu wamemkimbia Ata sistake mkubwa hataki kumkaribia Bro wake ndogo tukona mbaya but simu hashiki Amejipoteza mpaka alihamisha ile offisi ya jiji Pombe kwa sasa ndio halisi Cocaine ni brother na shash ni rafiki Asipozitimia kichwa atalipuka Asiposaidika boy wangu atajiua
Maisha ni kupanda na kushuka au sio Eh!! Manze leo uko sawa kesho blunder Ausio, eh! Manze lakini Lazima jo tu roll na hizo blows manze ausio Hivohivo strong, strong
Msanii nakuona uko juu unatesa Events kila siku unaingiza pesa Nakuona mtu wangu unaskia raha Kila show unapiga venue unajaza Hakuna kitu unaeza ambiwa we ndio kusema Ntu wowote yukona shida we ndio unamjenga Kila corner ya dunia unakanyaga Kutoa Sydney mpaka Alabama Biiboards kila mahali nani ka wewe Ma collabo kila mahali nani ka wewe Polepole kiburi inaingia kwa kichwa Hautaki kukashifiwa wewe unataka tu sifa
Time nao imeenda ulisahau kuji investia Magroupie ulikua nao ndio hao wamekimbia Too late mtu wangu by the time unashtuka Career yako ndio hio inashuka Wasaniii, hii ndio time yaku invest mtu wangu Unaskia? Hio ndio time yaku invest Eh! Unatengeneza peza eeeeh Wacha future yako pesa ikujenge ausio yeah aaah
Panda shuka, panda shuka, panda shuka Maisha ni panda shuka Panda shuka, panda shuka, panda shuka Maisha ni panda shuka Panda shuka, panda shuka, panda shuka Maisha ni panda shuka