Me nakuambia umebarikiwa si mchezoRRRRR Kila kitu iko sawa kutoka mguu mpaka menoRRRR Nitafanya juu chini nisikuumizeRRRR Roho yako hiyo safi niilindeRRRR
Lazima dunia mzima ijue we ni wanguRRRR Na hivi karibuni unakuja kuishi kwanguRRRR Nikuchunge daily vile inafaa Sababu jo we ni manzi wa maanaRRRR
Na ni muhimu ujue unapendwa sanaRRRR Tena sana na ni zaidi ya janaRRRR Ama juzi vile utatakaRRRR We si baiby tena we ni mamaRRRR
Sai wanaongea mbaya lakini me siwasikizi Umenikoroga ata siskii wanasema niniRRRR Niambie kitu yoyote me nitafanyaRRRR Niambie mahali popote me nitahamaRRRR
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda
Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine
Nachanganyikiwa kila saa nikikuonaRRRRR Mtu wangu we ni addictive kama soccerRRRRR Premier legue we ni number mojaRRRRR Hawa wengine itabidi wamengojaRRRRR
Chini chini wanajaribu kunyemelea Chini chini wanajaribu kunihemea Lakini niko focused mbaya sanaRRRRRR Hakuna kitu inaweza nitoa hapaRRRRR
Ni wewe na mimi, mimi na weweRRRRR
Na itakuwa hivyo wapende wasipendeRRRRR Kazi yao ni kutuangalia tu Na roho ngumu zikona machunguRRRRR
Me nakaa hapa tu nikicheka Hawatambui vile roho yangu umeiwezaRRRRR Na ni miaka mingi itabaki hivyo Na nitakuwa na wewe mpaka mwishoRRRRR
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine
Usijitishe na kitu yoyoteRRRRR Usitishwe na mtu wowoteRRRRR Nangos ikipigwa we jua ni biashara Ya kujenga maisha yetu  ya baadaye ikue sawaRRRRR
Unajua kunituliza ka nimechokaRRRRR Jioni hausahau kuniwekea maji ya kuogaRRRRR Nikiingia kejani uninivua viatuRRRRR Unimassage kiasiRRRRR mpaka ma saa tatuRRRRR
Halafu unaandaa chakula tamu kwa mezaRRRRR Kwanza kuku ya jana iliwezaRRRRR Ona vile boy wako amenawiri Maisha ya ubachelor staki si siri
Unapiga magoti unaniambia asanteRRRRR
Napiga magoti nakupiga mateRRRRR Nakuangalia kwa macho nakuambia nakupendaRRRRR Hakuna mtoto mwengine ka wewe Miss KenyaRRRRR
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine
Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Mimi me nakupenda Hakuna mwengine