Accueil  💃🎤 Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Kayumba
Titre : Bomba
(Here is another one Touch, Touch)
Bomba bomba eeh, Bomba

Ah jicho kokodo ukinikodolea
Huo mkonyezo mwenzake najilegea

Chuzi la sotojo limenikolea
Mi mbwa mbele ya chatu
Hata linasogelea

Tupendane tuwe kati ya makumbusho
Karne zijazo watusome
Mi wake wa future ye wangu wa ndoto
Kimaso maso wasituone

Hata akifumania poa tu (Poa tu)
Aseme ninamwenda fia poa tu (Poa tu)
Mi nang´ang´ania poa tu (Poa tu)
Ndo nishajifia poa tu (Poa tu)

Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu)
Mwenzenu napewa weka tuweke (Poa tu)
Nikimuona napanda kidete (Poa tu)
Uwo uwo uwo (Poa tu)

Natamani katongoze mara ya pili
Hapo vipi (Bomba bomba hio)
Anitilie nipate kurudi akili
Hapo vipi (Bomba bomba hio)

Hapo vipi (Bomba bomba hio)
Ipo vipi (Bomba bomba hio)
Ee bwana vipi (Bomba bomba hio)
Ipo vipi (Bomba bomba hio)

Sherrie baby na masherie oh
Anipa kazi moto mwenye kazi oh
Ndani joto sitaki feni oh
Aninogesha na vyake vilio

Mapenzi hayana nunda
Uchebe kawai gunja

Penzi pepo la kibunga
Likichanganywa na numba

Hata akifumania poa tu (Poa tu)
Aseme ninamwenda fia poa tu (Poa tu)
Mi nang´ang´ania poa tu (Poa tu)
Ndo nishajifia poa tu (Poa tu)

Chuma kwa chuma namwaga cheche (Poa tu)
Mwenzenu napewa weka tuweke (Poa tu)
Nikimuona napanda kidete (Poa tu)
Uwo uwo uwo (Poa tu)

Natamani katongoze mara ya pili
Hapo vipi (Bomba bomba hio)
Anitilie nipate kurudi akili
Hapo vipi (Bomba bomba hio)

Eeh hapo vipi (Bomba bomba hio)
Ipo vipi (Bomba bomba hio)
Ee bwana vipi (Bomba bomba hio)
Ipo vipi (Bomba bomba hio)