Muulize anataka nini? Nimwombe Mungu wangu ampatie Mimi hoi masikini Hali yangu mwenzangu na mie
Ningekuwa na uwezo Ningempa dunia amiliki Eeh ajue nampenda Penzi pembe la ngÂŽombe halifichiki
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna Wale wengi wanatamanio Mwambie nateketea mshumaa Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Siku hizi mapenzi hakuna Wale wengi wanatamani oo Mwambie  nateketea mshumaa Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Afanye pole pole (Naumia roho) Pole pole, naumia naumia Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
Akisema hanitaki nahisi itapulizwa parapanda Mwisho mwisho wa dunia, maisha inashuka na inapanda Akisema hanitaki nahisi itapulizwa parapanda Mwisho mwisho wa dunia, maisha inashuka na inapanda
Sikiliza na uende ukamwambie Moyo wangu wa mtumba chonda asinusie Fundi geneza lisinifukie Mapenzi yanauma asisikie
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna Wale wengi wanatamanio
Mwambie nateketea mshumaa Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Siku hizi mapenzi hakuna Wale wengi wanatamani oo Mwambie  nateketea mshumaa Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Afanye pole pole (Naumia roho) Pole pole, naumia naumia Ah chonde chonde, kamwambie Chonde chonde (Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)