Sipendelei Mi Ni wako Wakati penzi pendo lako huniekanga chini Mbona mi mwenzako nakupenda sanaaaar Tatizo lako wajitema pana
Njia yote ndani tunayapanga Mi we na Mimi Hauna Moto surutani Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar Tatizo lako najitema panar Hizo mbwembwe insta Sipendelei Hizo mbwembwe insta Sipendelei
Tumbo joto ,,Tumbo unapotoka Matusi kujibizana sijazoea Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar Sipendelei Sipendelei Sipendelei Mi Ni wako Wakati penzi pendo lako huniekanga chini
Mbona mi mwenzako nakupenda sanaaaar Tatizo lako wajitema pana
Njia yote ndani tunayapanga Mi we na Mimi Hauna Moto surutani Mbona mi mwenzangu nakupenda sanaaaar Tatizo lako najitema panar Hizo mbwembwe insta Sipendelei Hizo mbwembwe insta Sipendelei