Kila nikigonga muhuli naambulia sifuri Kumbe mapenzi yame updatiwa name analog so digitali Uku navunja meno (meno) Wenzangu wanatumia (opener)
Anamwita shem na anampa game Kucheet imekua fashion Akisema yupo single Anakudanganya Sikuizi si mioyo tu hadi bandama zinadanganywa Sikuizi wanapewa handsome nami sura ya Baba (Babaaa) Hapo ndipo Napata wazimu vipi beki zitakaba Siku hizi wanapenda waenda gym, na mimi namba saba (sabaa) Hapo ndipo Napata wazimu vipi beki zitakaba
Oooh acha niwe (tilalila li) Mmh aaah (tilalila li) Acha niwe tilalila li ti ti ti aaah Acha niwe tilalila li ti ti ti Acha niwe tilalila li ti ti ti Oooh acha niwe
Aiyaya DJ aii vipi mapenzi Beno vipi mapenzi Mafia losoo vipi mapenzi Bwii je, (apooo sawa) Masista du vipi mapenzi Wahuni vipi mapenzi Wanangu kule vipi mapenzi Bwii je, (apooo sawa)
Akisema yupo single anakudanganya Sikuizi si mioyo tu hadi bandama zinadanganywa Sikuizi wanapewa handsome nami sura ya Baba (Babaaa) Hapo ndipo Napata wazimu vipi beki zitakaba Siku hizi wanapenda waenda gym, na mimi namba saba (sabaa) Hapo ndipo Napata wazimu vipi beki zitakaba
Oooh acha niwe (tilalila li) Mmh aaah (tilalila li) Acha niwe tilalila li ti ti ti aaah Acha niwe tilalila li ti ti ti Acha niwe tilalila li ti ti ti Oooh acha niwe
Masista du vipi mapenzi Wahuni vipi mapenzi Wanangu kule vipi mapenzi Bwii je, (apooo sawa) (Mafia)