Accueil  đŸ’ƒđŸŽ€ Paroles de chanson Française et Internationnales

 A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 
Artiste : Kayumba
Titre : Wasi Wasi
Nikikukabidhi moyo wangu
Hivi utanitesa mie
Naogopa nikikukabidhi moyo wangu

Nahofia utanitesa mie

Wewe mtoto wa mjini
Umezoea bata mimi sina hizo
Nimekuzwa kwenya dini
Nisije kupa moyo, ukanizawadia pigo

Nikikukabidhi moyo wangu
Naogopa nikikukabidhi moyo wangu

Neno nakupenda sana
Nimeambiwa na wengi
Mioyo imeumbwa tamaa
Kudanganywa sipendi

Neno nakupenda sana
Nimeambiwa na wengi
Mioyo imeumbwa tamaa

Kudanganywa sipendi

Nina wasi wasi ayo
Nina wasi wasi ayo
Nina wasi wasi ayo
Naogopa usije nipa penzi la kio

Nina wasi wasi ayo yo mama
Nina wasi wasi aaah
Nina wasi wasi
Ukicheka ye akuchekea
Hayo mapenzi ya kioo

Mwenzako wasiwasi wangu
Ni kweli hutakidhi haja yangu
Uwe kidani changu
Muda wowote umezunguka shingo yangu

Aah usije ninyanyasa kisa pweza sina
Aah kanipa mapenzi kwa sababu ya jina
Nikikukabidhi moyo wangu
Naogopa nikikukabidhi moyo wangu

Neno nakupenda sana
Nimeambiwa na wengi
Mioyo imeumbwa tamaa
Kudanganywa sipendi

Neno nakupenda sana
Nimeambiwa na wengi
Mioyo imeumbwa tamaa
Kudanganywa sipendi

Nina wasi wasi ayo
Nina wasi wasi ayo
Nina wasi wasi ayo

Naogopa usije nipa penzi la kio

Nina wasi wasi ayo yo mama
Nina wasi wasi aaah
Nina wasi wasi
Ukicheka ye akuchekea
Hayo mapenzi ya kioo