Mmeambiwa mkae kwa nyumba na hamtaki Before Corona iwa EX kama unga ya chapati Wengi wenyu ni mapunda mangati Ju sai maslayqueen kama Huddah wanaparty
Ulifanya mistake kunitaja OG is a big brand not a Facebook trapper And I´m not single so siwezi kutaka Si juzi juzi tu ulikuwa unadate Mustafa
Self-quarantine ndo hamtaki ndo mko sai bar Alcohol kwa system yangu sai ni sanitizer Niko cautious utasema ninaringa But nina majukumu na familia ninalinda
Wasanii wa Kenya hamnipendi, sijui mbona? Au ni sababu vile mi huwaosha kwa mangoma? Leta uzushi nitakuchoma, nyi mapussy mtanikoma Mi hucheza undercover ka virusi za Corona
Nilikuwa juzi super mashopping nikitembea Nikacheki fan flani from afar akanigotea Akaanza kunisongea mikono akiniletea
I told him fuck off nigga, hio ugonjwa hutanipea
I know I´m rude but sijali boss Mpaka sikupendi mi sikupendi siwezi kajiforce And I´m selfish too hii game narun solo Na kama nimewaboo, pia mnaeza unfollow