Najua imekuwa siku kadhaa Before tuchapiane I hope unaskia Ulituacha bila kutuaga mpaka wa leo bado naumia Nikiwa solo mi hucheza chini Staki waone ka star analia
But nimegather gut za kutosha So kuna vitu nataka kuwaambia Day ulipass ulituacha pabaya Deni za duka na rent arrears
Landlord alinichuja kwa keja Despite kujaribu kujitetea Nilijaribu kumskiza umededi Lakini bado walining´orea
Akadai ka hakuna doh nampea Then hakuna kitu tunaongea Ikabidi tumeanzia scratch Tukahamia Dandora
And even though it wasn´t much Bado tulimshukuru Mola
Ulituacha kama hatujajipanga Kifo yako ilikuja na visanga
Ulituacha ka tumesota Kidogo tushindwe ata kukufanyia matanga Wale ndugu zako ulisaidia Imagine mazishi hata hawakukuja Na ile shamba ulikuwa nayo huko Bondo Pia nimeskia ni ka imeuzwa
After upass ilikuwa tu ni pain Vitu ziliacha kukuwa the same Just know that we miss you dad And I really hope imma see you again