Yeah, you gotta love it Eyo whats happening not (Hao) OG (Hao) Masauti Kenyan Boy (Hao) Whats good? (Hao)
Wanaona mwangaza Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao)
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Yeah) Ku appologise ia watu haujakosea (Preach) Ka we ni msofti utasema wanakuonea (Why?) Ka we ni mjanja utabidi umezoea (Now)
Watakutusi ndio u-catch na wacheke Wakishakutusi mara that, hao wasepe Udaku inapigwa na kasheshe
Ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke
Kukua celebrity gharama (Gharama) Ju wakishakujua ni lawama (Lawama) Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama Sai Twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa Diana
Hakuna huruma siri ni kulenga tu (Kulenga tu) Coz if it ain´t don´t kill you then inakujenga tu Na bado kuna fans wanakupenda tu But bado usijali hivo ndo vile kuenda boo
Si nyi hu-troll Simple Boy ka kila siku But Kipchoge akivaa the same mnamsifu Inauma kupambana na hizi issues But brathe usijali we zoea hizi vitu
Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao)
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Why?) Your downfall ndo mbogi huwanga inangojea Leo watakuchocha vile uko juu unapepea But kesho ka shetani watakukemea (Riswa)
Remember Esther Arunga na huzzy yake Hellon? It´s so sad wamefungwa ju sai ni ma felon Walitrend tukawacheka when they needed help (Why?)
Tukaangalia when they busy destroying themselves
Ni poa tuweke imani kwa Yesu Woi Jimmy Gait si ye huona siku mrefu Tumemtroll bila kujiuliza question Like what if that nigga fell in depression?
Papa Denis alidedi tukamchangishia Tuka-type RIP tukimpandisia Ati tuko sad na tunajua vile alikapitia We tu ni ku-troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia
Mulamwa ameshachoka amedai zii Ju ya matusi toka Twitter mpaka IG Mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (Kwenda!) Buda OG huwa zogo shinda 5G (Staki!)
Mmefanya mpaka Pozee amewacha injili (Hahhaha) Ameacha kuimba mangoma za Holy Spirit Ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili 10 over 10 hamtaki sai mnatusi Willis As if mmekuwa forced kutazama Nyi ni fans in denial so of-course mnajifanya
Kukuwa celebrity kuwa ready for drama Omba God akubless na self-esteem ya pastor Ng´ang´a Na confidence ya Orie Rogo Manduli Na will-power ya John Pombe Magufuli And though wengi watasema ni kiburi But that´s the only way utawezana na hawa mabully
Wanaona mwangaza Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao)
Watakushow ati hauwezi fika mbali (Hao) But ni wivu tu jo wamejaa makali (Hao) Comment section wamejazana upuzi (Hao) Lakini DMs same haters bado groupies (Hao)
Ukikafunga hivi waskiangi fiti (Hao) Wanatamani kuishi maisha we unaishi (Hao) So hata waki-hate haina ngori uko mbele (Hao) Get a life nigga punguza kelele (Hao)