Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (iyee) Kama unangori (Kama unangori)
Me sina worry (Me sina worry) Me sina worry Juu nitakukia feng
Ngoma zangu (ngori) Flow nayo (ngori) Nguo nazo (ngori) Kadem nako (ngori) Juu ya ngori ngori Ati ni (ngori) Ngori ngori (ngori) Ngori ngori (ngori) Flow nayo (ngori) Shit nayo (ngori) Kila kitu (ngori) Kila kitu (ngori) Nairobi (ngori) 254 (ngori)
Eeh eeh (ngori) Juu ya ngori ( ngori) Yeah
Ushaijua vile unaeza kuleta ngori Ukileta ngori Uku ni ngori joh Unatabia za kishodi shodi Kesi na OG ni horrible Morio Hukumbubi juzi ni nini Ilifanyika kwa corridor Ulijaribu kuziba ngori Kumbe silikuwa nishakutoa corridor Sorry bro hatuko kimoja Saa me niko category soo Niko na akina sokodi Kaa unacopy then I just told you so
No worries though Nijue za kodi msoo 90 percent of you rappers Bado mnazimwa na shoti kaa nati flow But kwow tukienda kigongi kombi Kuje na packo ya condico Nairobi knows Vile nikona mapepo Nahitaji maombi boss Kila siku me na mourn medoss Ndo reason nifuatwe na horny horse My life is like a movie (wuuh) Wacha niwapatie chronicles So stay on your lane kaa doriko Juu simple utapgwa makofi bros Skotoshi knows ilibidi baki Nimekuwa nikiziafford koo
mapro ni pro form ni show Nilidhani itakuwa impossible Istead kutype kwa simu We nitafute kaa ukona ngori joh
Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (Raah) Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (iyee) Me sina worry (me sina worry) (me sina worry) (me sina worry) (Brrr) Ngoma zangu (ngori) Flow nayo (ngori) Nguo nazo (ngori) Kadem nako (ngori) Juu ya ngori ( ngori) Ati nini (ngori)
Ngori ngori (ngori) Ngori ngori (ngori)
Kama unangori (Kama unangori) Usichoche kwa twitter na insta story Name a location nikuje katambe Twitter fingers tunajua ni boring Kama unangori (Kama unangori) Tukuchachishe mateke na dondi Kama ni kudiss mliona nini Nilifanyia vera na eric omondi
Kama unangori (Kama unangori) Tukikutana usijifanye holy Juu nitakuchangamkia ukoro Na wale ninja umeseti kwa koti
Kama unangori (Kama unangori)
Hakikisha unatembea na mboggi Juu wale kiawa wananitambua Si wale hudance hizo ngoma za odi
Shine on nimepita na glory Jwaang inapiga nikiwa na mashodi Nipate mollys Mimi na mollys on The purple kama francis atwoli Hapa nit eke hakuna cha slowly Me sina time kama Mbota si rolling nikisema nikona kimuthong
(Brrr) Ujue si challenge yak obi Si ndo waswang ya tonj ya mbono Tunawaingiza na ii origi Si ndo hupita na vibeti kwa mkono
Si ndo huongelewa dailykwa TV Si ndo con wa tao Pata potea na base ni stage ya bangu Supplier wa nyama ya paka Mlikuwa mnaekewa kwa sambu So kama ni ngori jua ni Akina nani unadeal na wao Coz none of my niggas Are keeping it 100 Zetu ni mabills za thao So before muulize nani amekafunga Kwanza mjue nani amevunja rekodi Izo pang´ang´aza kujicompare na Me hazihaziwezi nyi ni matothi
Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (Raah) Kama unangori (Kama unangori)
Kuja na mboggi na theng (iyee) Kama unangori (Kama unangori) Me sina worry (Me sina worry ) Me sina worry (Me sina worry ) Juu ninakukokia feng
Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (Raah) Kama unangori (Kama unangori) Kuja na mboggi na theng (iyee) Me sina worry (Me sina worry ) Me sina worry (Me sina worry ) Me sina worry (Me sina worry ) Juu ninakukokia feng