Luku eey ah, yeah Luku ni moto, luku ni safi Nimetoka soko, nikashika mambati So piga maphoto piga manjafi Cheki mangoto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi Luku ni moto, luku ni safi Luku ni moto, luku ni safi Luku ni moto, luku ni sa sa sa
Luku ni safi na luku siwachi Umati inauliza mahali natoa hizi luku ni wapi Saa zingine ni Turkey ju za duka sitaki Saa zingine wathii ama Kariakor bora luku ni safi
Primo ilikuwa ni Toughees, tukiboni manati Civo kapiga hands on na ma Sahara nikidunda maparty Sai nikipiga marashi lazima ikuwe Warachi Na mi sitambui mambono onyesha Fugazi kidole cha kati
Ka ka ka!
Luku ni safi nachoma ka pasi Hii swaga ni classic inakuwanga true Wao husema am lucky ju vile niko kazi My friend hii usafi ni hali ya juu
Shati Versace, jinare na mbati Jamisha kamati washow ni mafool Mangeus hawataki but vile nawakata Ni ka movie ya ngwati you know how we do
Luku ni moto, luku ni safi Nimetoka soko, nikashika mambati So piga maphoto piga manjafi Cheki mangoto, luku ni sa sa sa
Luku ni moto, luku ni safi
Luku ni moto, luku ni safi Luku ni moto, luku ni safi Luku ni moto, luku ni sa sa sa
[Kattapila] Vile luku ni moto si ni wasafi Simaanishi ya Simba Mi hukuja na leather imetoka Congo Wananiita Mokili mobimba Hii luku inafanya madem wa moshatha na Nairo wanataka mimba Nazidi kuchimba wakitaka hio miti nakuja na Timber
Uh! Ju luku ni safi nimechafua baki ukidakua Ngware niko Toi Market nikichambua swag za balaa Decorazer na lami, sikupi salamu, yaani fresh kama gum
Fashion killer ni mimi they wanna become Sichomi picha nikitoa album Cheki hawa wanatry kudunga ka mimi But mi ni wa kwanza adam
Siwezi kuwa wrong ka chini ni Nike Labda nikiwa na Wakadinali manoti kwa long Shingo ni icy yeah we taking it internationally To to to, Somali caliber ni kali Itabidi wapunguze hii pupa kama Fally Pia waseti mali Ju mi hurollingi na madem wa geti kali
[Donn J] Luku ni moto drip inatesa ka mama wa kambo Sijashinda Lotto nataka shori ka Tallia Oyando Luku imeketi, ´My city they call me Rambo´ Buda sichezi vile mi hudunga ni kama sindano