Aha, yeah it´s Trio Mio Khaligraph Jones Aha, nicheki
Mi utero maotero hutoka teke nikitokea
Teveva na mkombero nateketea nikitembea Na moto ni mafuta taa trouble maker wa tiplo Toba tishiwa na Timber na matindo wa insult
Teritoes kwa grao, na tension kwa trao Ma twa twa nipige na tampoon kwa nyau Namtoka ki Tony Cross namtema akitapatapa Tekwa na mtaratara natibu watoto hapa
Na ni shot ya tequila na muratina kwa tumbla Taki 4:20 na pedi anakuwanga fambla Nyi matothi mko tupu hamtoshi ratili Akili ya tenitabis mmeleta mjini Matua tutakushuka takataka kwa trash
Kanateka matena naapa mi hudonna matanasha Karantin hii ni movie tia chumvi kwa tea Hizo maT lazima utii huwezi tema ka Trio
Nina kimwaki ka kijiko ndani ya microwave Riba na majangi ki Migo kinamarinate
Mbele tukiomoka tutasimamisha ma mansionette Ma bungalow, estate kwa sababu ploti zina mushene Tukule bubushee Kilimani ama Oyole Ndani ya duvet siku nzima uko holiday?
Hapa ngori le, kila siku huwaga workile Sunday, Saturday -- niko chevrolet
(Niendelee, so tuendelee ama nUitafte kitu) (Endelea buda!)
[Khaligraph Jones] Moja I just told you that it´s over Ukipapi Trio then OG anakuja ka Gova Pili makanjo kutumia akili
Kijana mdogo lakini mzigo cheki ratili Tatu si hufanyianga watu Tukispit tumechoma vitu, buda tumefyatu Nne work MC msipime ka uko na kashore kafiti Lazima nimdi** Tano nitakutumianga kama mafano Khaligraph akikuja buda manze toka teke And sita bro tuko ready jo kwa vita Afrika mzima hii sauti imesikika Saba naweka kwa msalaba Khaligraph Jones baba yao their father Nane buda chunga usipatikane Ju nakuja hapa na mbogi buda jo ni -- And tisa yeah bado game yajipa Flow ikikuja manze jo madem wakosete Saba!!! (Eeeh hahaha, Trio Eeh)
Gathee anyway nilikuwa natumia namba
It´s either way jo ni kuroga Nikikuja hapa na Trio gathee tumetosha mboga Na bado niko juu na niko sober Marapper wakikuja jo na OG wanaoga
But anyway that´s not the issue right now Nikispit mafans wako like damn why why Yes na hivyo ndo mi huwanga ninabless Kama ni microphone lazima mi nita di caress Then buda chukua uendelee manze jo nimchoka Hizi vitu ni za ufala manze mi nishakutoka
[Trio Mio] Hey my guy kama kuna kitu mi huchukia kwa hii lifetime Nikubebwa ndogo na tumadharau tu live live Watu hugwaruzana but heshima huwanga lifeline Usiwai kunja ngumi ukajichocha henny night fight
Beef si humeza iwe choma ama dried fried Real niggas si hukunyima character kwa cypher High time kuseparate madanda na ma ants time Marapper---
Uh Ni Trio Mio lets go
Portmore pale chonde utanipata Na mapretty kama thao wanadrip designer Chupi, Prada ndipo inataste picanna Peter Pipper mboka na akazua na pliers
Sina kwara dasha sina pupa pang´ang´a Mi hupiga ngasha we unanuka punana Buda madree pigwa na machupa za pili Boss mi ni numero unno siwezi kuja wa pili
Mi picasso vile nazichora Pigwa bakora nakupora kama pinji wa Dandora Niko pako na wakwako anapigwa punyeto Macho tomato nimenyanya shuksha na potato Wapo wanapika pelka pelka Niko mapesa kama tizi mapress up Niko busy mapema tema vile natema Ni morio anzenza bazenga kusema Cheza michezo inaweza, wewe wewe
[Khaligraph Jones] Ati vuka Portmore nimebaki nikiwaza Mi sijatoka Portmore buda mi nimetoka Gaza Oyole utanipata ukileta upuzi Huku pande yetu tutakukata
Big shoutout to Mbogi Genje
Mafala wote pale nje wale wako kwa stenje Watu wote wanatuskia OG motherfcker Am the best right here
Eyo Trio si tuwapatie story Venye kumess na sisi hapa huwanga ngori Yeah manze tutawamaliza Nani ndo the best MC ukitaka uliza Watakupea jibu ile inafaa Khaligraph jo huwa nawakilishanga mitaa
You know that I´m a G And where we are these rappers wanna be But then again nani anaweza kufanyanga jo hivi Hizi vitu ni zile wathii wanaonanga kwa TV Kufika hapa buda ni lazima kupiga tizi Nikianza kuroga jo buda utadhani nimechiziii!