Yeah, ahuu Scorpion, ahuu Mi siogopi, ahuu Yeah, yeah
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Leo ni movie mnataka kuona na mi si Tokodi(Mi si Tokodi) Visanga tutafanya leo lazima tupatiwe notice(Riakakakaka) Lakini ambia mwenye nyumba nimesema siondoki(Hahahaa)
Cheki vile nimekafunga boss na mi sio chopi(Na mi sio chopi) Mapesa najua kutafuata sana na mi siokoti(Na mi siokoti) Makesi si pia natatua sana na mi sio korti(Na mi sio korti) Na kale kambwenya kangu ka seko sina, na miss hio koti(Na miss hio koti)
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi
Ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi) Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi) Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)
Nishawachanua mi siogopi Mi ni kurutu jo mi sio softi Ka ni kuroga then mi ndio bossi Ka unaugua then hii ndio hosi Hii ni beef jo hii sio Sossi Hii ni hit jo au sio Motif
K.O.B jo leta hio coffin Nirest in peace jo mi siogopi
Mabuda mnachoma kazi ni ku copy paste Hawa ma yungin ndo pia nyi mtrend Mbona msikubali mmechapa Ni ka mnasaka career zenyu zimeend Mnazoza kwa mneti mashow mnapiga Na zinafanyika ka kila weekend Na ngoma mkitoa the only platform Mnapata ni Citizen 10 over 10
Mi nipe candle siwezi potea Ju kitu nafanya ni ngumu kusample(Woo) Hard kuwa rapper lakini ikibidi Namada pia beats za dancehall(Rrraaah) Favourite rapper wako batty boy Tulimpata akinunua tampoons
Mbogi yangu ya ubakora ni major Utatupata na akina Kansoul
Acha kiburi punguza kelele Zako pangÂŽangÂŽa kwa mtaa we ni mwere Utageuzwa kichungi ukizidi na kwere Nilianza kuhustle enzi za Nyerere Legendary kama Luanda Magere Nina ofisi huko Mwea Tebere Niko na maratchet wale ukiketi mbaya Soda yako watakuwekea mchele
Before nianze rap hapa Kenya Kulikuwa na shortage ya skill Hakukuwa na talent(Omollo) Akina Pinye walimada industry Wakafanya ikuwe barren Wakasema nisiroge na ngoso
Ati sababu sijatoka Karen But F*ck you n*gga, guess sai Nani anapiga mavideo na kina Clarence
HBR nangoja mnipigie simu mniambie pole Hio top 50 mlitoa Inaonyesha vizuri hamkufika hata college Ju ka si Khali ndio number 1 Inaonyesha vile mmedharau jina Freestyle zangu ndo Most viewed on your channel Na bado mnakosa heshima
Aaah, aki ya nani, eyoo Motif imebakia nani Mbona wathii hawanitakii amani Hii game me naif*ck ninaimwagia ndani Nani hapa Kenya ameisukuma Hii culture ya Hiphop kushinda Omollo?(Iyee)
K.O.B na Khaligraph kwa battle field tunasimama solo
Ahh unarada fiti Kuna wasanii kadhaa bado wasaliti Wanasaka kiki, si hawataki kuona sisi tukipaa Watafurahi tukikaa Kamiti OG we are brand them amachichi Ama vipi bado mi nafanya mziki If it ainÂŽt about the money donÂŽt tryna reach me Nishamaliza hii kitu inakaa mazishi
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Ka ni vitisho tumezoea, me siogopi, me siogopi Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Ka ni vishasha tumezoea, me siogopi(Rrraah kakakaka)
Me siogopi, me siogopi, me siogopi, me siogopi Me siogopi, me siogopi, me siogopi(Si me siogopi) Me siogopi(Na we huogopi?) me siogopi(Ka we huogopi) Me siogopi(But me siogopi) me siogopi(Rrraah kakakaka)