Mmmh (The Beat Killer) Ni kubaya yeey Bazenga eh eh (Vinc On The Beat)
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Msupa atoti ndae ni German Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Ni kubaya) Woi kairetu msafi Mbota durag shingo mawaya Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Jua ni kubaya, imba ka Choir
Kobra ni King, Bazu ni Giant Tangu tene Breeder me ni short wire Leta zogo ndio utafinywa na pliers Rap game nime simama kwa dias Sembe na Mala na Kunde kwa Diet Tabia za Baha na nguo za Diana Zitafanya nifuate Dini Kwa Science
Nikikafunga nacopy Jalang´o Napull up na Beamer, kwanza ki drop top Mkwela alijifanya high class After mechi si alidishi ma popcorn Kwa shingo waya zimebeba ma karat Trao imefura kwa mbosho Vile wana pupa ka refa wa wresto Undertaker ntakupiga tomb stone
Vile nawastua kama box X
Ndege maziwa nazioshanga tu na Topex Itabidi wamejua bado me ndio chosen Opp alitupwa ndani ya tank kama Cohen Niko fully loaded,sijai kosa content Delivery noma mistari nafikisha doorstep Tuko tu mamoshi ka take off ya rocket Breeder, Omollo kuwa sure hii ni problem
Na siezi ngoja ku invest mamita Zitaletwa na ngoma napiga Tough Klan basi ntaigeuza Kanisa Juu macosign napata na sifa Ka si TK ni Blu Ink kwa speaker Piga mrazi na chupa ya kichwa Me napata baraka si kissmart Wengi wao walikam wakapita
Si ni shocking ka blanca
We bado una mbogi me nazoza one man Me ni head bad hadi staff-room nanyamba Na naachia depa na princi lawama Niko bypass, 105 nakanyanga Ju kuna maganji nafuata Langata Hapo mneti wanahatingi sana Na tukipatana wako nervous
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Msupa atoti ndae ni German Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Ni kubaya) Woi kairetu msafi Mbota durag shingo mawaya Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Rada ni chafu washow tumefika Hawajajua ni kubaya (Jua ni kubaya!) Me ni moto na vile nawa-sun Jua ni kufire (Jua ni kufire!) Tuliona ukizoza na ndechu kwa IG Ukajua nikuhire (Jua ni kuhire!) Na vile huyu shawty anagawia umati Hujajua ni malay*
Okay, Breeder alinishow OG nina banger Nikamshow tuma ma nigga I got you Na ju staki mastory za mbang´a
Vida ipigwe mchana sababu ya curfew Ju lazima nipate briefing ya Mutahi Nijue cases ngapi so far hapa Nai Najua ni-ki ukatoto ikifanya story Lakini ndanindani watakuwa wanafurahi
Itabidi niharakishe ndio nisepe Hii si para Mr usiniletee Hata mkilalamika mi natambulika Siezi choma picha ama vipi? Na nyi kwangu vinyangarika Nawachapa vita na mkikasirika niwateke Niwanyanganye sling na Timber Na ju nyi ni wajinga Ni vibare mpaka mi nitosheke
Na mi nawatafuna kama PK PK, PK, PK jaba na njoti
Na hii ngoma lazima iwashike Shike, shike, shike, mababi mangoki Collabo noma Omollo na TK TK TK TK, mafala hawatoshi Na ka ni bars basi muitishe, Tishe! Ndio tuwazungushe Na ile pace ya Valentino Rose
Tukifika basi ni nuru Tuko kwa telly kwa mbulu Kutoka nyeri to Buru Mpaka Nyeri to Mukuru Tukimalizana na Nai Tunafika Nakuru Na juu hii si kazi ya bure Buda toa ushuru
Mashore wanalia ooh thats badman
Gonga taka tukuscoop up na dust pan Red carpet tuna pull up na Mustang Looku ya gikomba tunapulizia Verseman Competition imerushwa kwa trash can Nyi mastude mmekuja for half-term Hivyo ndio namalizia verse OG Motherfucker nime pull up na Tough Klan
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Jua ni kubaya) Msupa atoti ndae ni German Ni ya ulaya (Ni ya Ulaya) Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya
Nasema woi woi woi Jua ni kubaya (Jua ni kubaya)
Jua ni kubaya, jua ni kubaya Jua ni kubaya (Ni kubaya) Woi kairetu msafi Mbota durag shingo mawaya Eh! Jua ni kubaya, jua ni kubaya, jua ni kubaya